Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Kutokumbembeleza mwanamke ni Kutokujiamini na kutokujielewa. Mwanaume anayejitambua anajua moja ya majukumu yake ni pamoja na kumbembeleza mwanamke.
Mwanamke anabembelezwa anadekezwa, anapetiwa petiwa kama mtoto.
Tabia hiyo uliyonayo wanayovijana wadogo ambao ndio wanabalehe. Au wenye matatizo ya akili.
Mwanaume ndio habembelezwi.
Hayo mengine sijui ya kukimbiwa na wanawake kisa huna pesa au kufilisika hayo ni matokeo ya kutojitambua kwa mwanaume.
Huna pesa unaishije?
Huna kazi ya kufanya?
Haya yote huna bado usibembeleze?
Watu wanapesa na wanabembeleza kwa vile wanajua wajibu wao kama wanaume wewe unakuja na hadithi za watoto wanaobalehe hapa.
Tafuta mwanamke anayekupenda tena akiwa bikra alafu kuwa mwanaume kikamilifu uone dunia ilivyo tamu
Ukweli ndio uko hivyo, wanaume tupunguze tabia za kulialia, kuna midume mpaka wakati wa kupiga bao inapiga kelele yenyewe badala bidada ndie apigwe mkuyenge apige mayowe ya Utam, mnadhalilisha UANAUME mjue mxiuuuuu manina zenu. Kuweni makauzu waulizen akina Mabeste na Stamina kila wakat bebiiiii, mailavuuuu shwajn kabisa nyie.
Kwasasa utapata bikra za kuchonga
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16] usipotaja bikra siku yako haijakamilika kabisa yaniKutokumbembeleza mwanamke ni Kutokujiamini na kutokujielewa. Mwanaume anayejitambua anajua moja ya majukumu yake ni pamoja na kumbembeleza mwanamke.
Mwanamke anabembelezwa anadekezwa, anapetiwa petiwa kama mtoto.
Tabia hiyo uliyonayo wanayovijana wadogo ambao ndio wanabalehe. Au wenye matatizo ya akili.
Mwanaume ndio habembelezwi.
Hayo mengine sijui ya kukimbiwa na wanawake kisa huna pesa au kufilisika hayo ni matokeo ya kutojitambua kwa mwanaume.
Huna pesa unaishije?
Huna kazi ya kufanya?
Haya yote huna bado usibembeleze?
Watu wanapesa na wanabembeleza kwa vile wanajua wajibu wao kama wanaume wewe unakuja na hadithi za watoto wanaobalehe hapa.
Tafuta mwanamke anayekupenda tena akiwa bikra alafu kuwa mwanaume kikamilifu uone dunia ilivyo tamu
umenenaMwamba kaongea uhalisia, kila mwanaume anapokua karibu na kumjali mwanamke , huwa ndivo anavyomuweka mbali huyo mwanamke , kwani mwanamke huona ameshakuthibiti huna pakwenda .Huu ukweli hata wanawake wenyewe wanaujua japo hawawezi kukuongelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kakugusa penyeweee[emoji16][emoji16][emoji16] usipotaja bikra siku yako haijakamilika kabisa yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nnalolijua ..
The more you love the more you suffer .. Mpe pole yake na wewe endelea na msimamo huo huo usije ukalegeza dogo aka ku hamida [emoji23]Hii ina ukweli ndani yake. Girlfriend wangu namchunia, simjali kivile, nilishamwacha mara mbili na kurudiana naye lakini yeye ndio ananipenda zaidi amekufa ameoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta demu jamii forum acha umakuNa huo ndio usela mavi kwa 100%
Hahahaa mkuu hela zitaisha halaf jamaa wanakimoa vumbi kidogo et elf5Nakukarbia mkuu .......nikiweza kuiepuka tabia ya kutaka kuwaridhsha (kuonekana kidume)kwa pesa zangu zinazoptea kwnye kununua haya mavumbi ya wacongo basi kwisha habri yao mwendo wa ubinafsi tuh.
Sent using Jamii Forums mobile app