Huwa simbembelezi mwanamke!

Kutokumbembeleza mwanamke ni Kutokujiamini na kutokujielewa. Mwanaume anayejitambua anajua moja ya majukumu yake ni pamoja na kumbembeleza mwanamke.

Mwanamke anabembelezwa anadekezwa, anapetiwa petiwa kama mtoto.

Tabia hiyo uliyonayo wanayovijana wadogo ambao ndio wanabalehe. Au wenye matatizo ya akili.

Mwanaume ndio habembelezwi.

Hayo mengine sijui ya kukimbiwa na wanawake kisa huna pesa au kufilisika hayo ni matokeo ya kutojitambua kwa mwanaume.

Huna pesa unaishije?
Huna kazi ya kufanya?
Haya yote huna bado usibembeleze?
Watu wanapesa na wanabembeleza kwa vile wanajua wajibu wao kama wanaume wewe unakuja na hadithi za watoto wanaobalehe hapa.

Tafuta mwanamke anayekupenda tena akiwa bikra alafu kuwa mwanaume kikamilifu uone dunia ilivyo tamu
 
Jifanye kiburi tu, utachapiwa sana kwa taarifa yako. Be Gentleman ayseee hizo habari za kubembeleza bembeleza waaachie akina Ben Kinyaia na watu wa dizain hiyo.
Ukiendeleza ubishi ipo siku utaukumbuka huu ushauri.
 

Wewe ni mangina, tena ww ni captain save a hoe.. Jokajeusi
 
Jifanye kiburi tu, utachapiwa sana kwa taarifa yako. Be Gentleman ayseee hizo habari za kubembeleza bembeleza waaachie akina Ben Kinyaia na watu wa dizain hiyo.
Ukiendeleza ubishi ipo siku utaukumbuka huu ushauri.


Nipo kwenye hiyo Field Miaka kumi na tano Sasa.

Najua wanawake wanataka nini hata kama wao hawajui wakitakacho.

Mwanaume anayejitambua lazima ajue kumbembeleza Mwanamke wake.

Kama hulijui hili ni dalili kuwa bado hujakomaa au hujaishi na wazazi wawili hasa Baba akakufundisha namna bora ya kuishi na mke wako.

Mwanamke anaweza akasusa bila sababu, jukumu lako ni kutibu hisia zake kwa kumbembeleza. Kama hujui mambo madogo kama hayo sijui kitu gani utakuwa unajua kuhusu Mahusiano.

Mwanamke anatakiwa akuheshimu. Nawe unatakiwa umpende, umhudumie, umbembeleze, umpeti peti. ujue kucheza na akili yake.

Sasa kama hufanyi hayo, jua huna tofauti na yeye. Kwa maana mwanamke kamwe hawezi kukubembeleza labda awe hajiamini, hawezi kukutongoza coz anajua yeye ndiye anastahili kutongozwa, Hawezi kukupeti peti kwani anajua wewe ni dume la mbegu hupaswi kufanyiwa hayo, Hawezi kukuhudumia kwani anajua huo ni wajibu wako.

Ninauhakika unaumri wa kubalehe ndio maana unawaza kama katoto. Hufikishi 25

Na kama unafikisha basi akili yako ni changa mno.

Tafuta wanaume watu wazima wakufundishe uanaume sio tabia za kivulana
 
Naona kama uko sahihi kwa upande flani, hakuna binadamu ambaye anastahili kuliwazwa kuliko mwingine, kila binadamu anastahili... Ukiona mwanamke hakuliwazi wewe jua kuna kwengine ambapo analiwaza. Mapenzi ni ya pande mbili. Akikutenda mtende kama huoni vile. Wote tubembelezane. Hakuna cha wanawake wako spesho kuliko wanaume, kwa lipi hasa. Jipende mwenyewe kwanza japo usiache kupenda wengine kwa kiasi chao sio mtu achukue upendo wako wote kisa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja
Sitathubutu kumwabudu mwanamke
Kitendo cha kumtafuta na kumvulia nguo tayari unamwabudu kama huwapendi kweli ishi kiseja. Nakujishaua kote lakini mwanamke ana nguvu sana nakujidai makomandoo lakini mnawatafuta tu hahahah
 
Evolution bado inatake place ukiwa binadamu kamili utajua thamani ya mwanamke something only animals ndio huwa wanafikiria kufanya acha binadamu wafanye yanayowapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…