Hii ndio taarifa mpya ya Jioni hii kutoka Ubaruku Mbarali , unaambiwa kote kule ilikopita Chadema , Tunduma , Mbozi , Mbeya mjini , Kyela na kwingineko umati Uliojitokeza Mbarali hauna mfano . Freeman Mbowe na viongozi wenzake wameingia Mbarali wakitokea Kyela ambako walivurumisha mkutano...