Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,190
- 5,046
Wakuu NO REFORM........NO......đź‘‚
Binafsi Sina muda wa kubembeleza mwanamke au mshikaji ukizingua nikakutema ujue ndo imetoka hiyo hasta salamu sihitaji kabisa
Hasa wanawake nikimtongoza akazingua mara mbili nafuta namba na kila kumbukumbu yake then naendelea na mambo yangu hasta tukikutana sikuulizi chochote naweza mpita kama sjawahi muona kabisa
Mshikaji ukizingua hata kama nilikukopesha ukaniletea porojo nachokifanya nikukuachia hiyo Hela Kisha nakwambia tusjuane hata kama ni ndugu yangu
KUNA NDUGU YANGU mmoja niliwahi ishi kwake Kwa muda Tena ilikuwa mara Moja Moja Sana kwenda kwake maana nguo zangu zilikuwa pale kwake so nilikuwa namaliza hata wiki sjaenda na nilikuwa nikienda naweza mkuta au nisimkute mlango wake alikuwa hafungi so alikuwa na washikaji wengi wa ingia Toka siku Moja nilienda usku kuchukua baadhi ya nguo nikakutana naye nikatoa nguo kunyoosha akasema pasi imeibiwa nikamwambia POA nikavaa nikasepa zimepita kama siku 3 nashangaa sms kama nne hivi za vitisho na kejeli Tena kamuandikia demi wangu maana simu yangu ilikuwa imezima chaji nadhan alinicheck hakunipata akaamua mtumia sms demi wangu anifikishie ujumbe bahati nzuri simu ya demi wng nilikuwa nimeishika Mimi nilisoma zile sms zilikuwa znadai Mimi ndiye nmemuibia pasi, niende kuchukua nguo zangu na nisikanyage kwake Tena.
Kesho nilienda nilimkuta nikamsalimia nikachukua vitu vyangu nikasepa sjawahi kanyaga kwake Tena Sasa ni miaka SITA maana kipindi hicho nilikuwa nimemaliza chuo Sina KAZI nilikuwa napambana tu SI mnajua.
Sasa KUNA mkoba ya wajukuu ilianzishwa akawa kaipata namba yangu kaanza kunitumia vi sms Whatsapp skujibu akapiga video call skupokea nilibaki nashangaa tu huyu mtu ananitafutia nn Tena eti ananiuliza nipo wapi kwasasa.
NILICHOJIFUNZA NA NDO MSIMAMO WANGU
Hakuna kwenda kukaa Kwa ndugu
Hakuna kujipendekeza Kwa mtu
Hakuna kuwa na marafiki wengi
Hakuna kumtegemea mtu
Kaa mbali hasa na Hawa ndugu ndugu humo ndimo walimo maadui zako wa kweli
Hakuna kuwa na mademu wengi mmoja au wawili inatosha
Taoa wake wawili akizngua huyu taenda Kwa mwenzie
Punguza mazoea na watu na waskujuejue sana
Ndugu zako hata washikaji wasjue sana maisha yako
Madeni yaepuke kadri uwezavyo
Usimpende mwanamke Hadi uhisi yeye ndo oxygen yako
Wasaidie watu Kwa yaliyo ndani ya uwezo wako
Mtegemee Mungu epuka waganga
Usibembeleze mwanamke akizngua piga chini endelea na maisha yako
Epuka kukopesha mtu pesa Bora umpe tu SI kumkopesha kama kweli unamuhitaji mtu huyo
ASANTENI