U UWOGA=UMASKINI JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 2,400 Reaction score 1,019 Jan 17, 2016 #1 Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 Jan 17, 2016 #2 Mmh em andika kwanza vizuri maana umekosea kosea utafikir.........
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Jan 18, 2016 #3 Unaweza Chilukua maamuzi magumu tu ndugu yangu, hakuna namna!
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,720 Reaction score 128,416 Jan 18, 2016 #4 Tamaa tu hizo wakati unaoa hukujua kuna mademu wakali. Huenda ikawa huyo anayekunyenyekea ameshajua unastress ndio mana anacheza na akili yako.
Tamaa tu hizo wakati unaoa hukujua kuna mademu wakali. Huenda ikawa huyo anayekunyenyekea ameshajua unastress ndio mana anacheza na akili yako.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,856 Reaction score 44,204 Jan 18, 2016 #5 Na unaweza.kumwona mkali kwa sababu wako mmeshatibuana
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,904 Reaction score 172,784 Jan 18, 2016 #6 Muda huo kichwa cha chini ndo kina maamuzi hata akipita mbuzi mbele yako utaona ana shape flani matata....
Muda huo kichwa cha chini ndo kina maamuzi hata akipita mbuzi mbele yako utaona ana shape flani matata....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jan 18, 2016 #7 Nitaona ananiletea shobo tu mimi stimu zangu zitakuwa mbali
mkwepu jr JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 558 Reaction score 1,028 Jan 18, 2016 #8 Itakuwa balsa huwez chukukua Yale chilukua na yeye