Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 243
- 431
Rafiki yangu yupo mkoa "A",ni wakala wa mitandao ya simu.Kuna mteja alikuja dukani kwake;akamwambia,"Kaka nataka kukwepa tozo ya kutumiwa pesa,naomba namba yako ya uwakala nimtumie mtu yupo mkoa "B" akuwekee pesa afu unipe cash"
Kwa kuwa walikuwa wamefahamiana kwa muda fulani,rafiki yangu alikubali.Yule jamaa aliye mkoa "B" aliweka pesa,rafiki yangu aliiona pesa na kumpa yule mtu cash.
Ebhanaaee kumbe yule jamaa wa mkoa B akawapigia mtandaoni kuwa ametuma pesa kwa bahati mbaya hivyo aliomba wai"withhold" afu wairudishe.
Rafiki yangu kuja kushtuka hela inarudishwa,alipofatilia,yule jamaa wa mkoa "B" akasema hafahamiani na yule aliyechukua hela,hivyo hela zikawa zimeenda hivyo.
Aliwapigia mtandaoni wakasema anahujumu kampuni kwani nao wanategemea faida ya tozo.
Tuwe makini!!!