Umeamua kunidhalilisha? Mi nilijua tushayamaliza. Dah!Kuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk.
Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za familia. Tulipanga lazima tuonane. Baada ya kazi nilimtext hubby kwanza nikamueleza kuwa shost yuko mjini na tuta chill kidogo kabla kurudi nyumbani. Alisema poa.
Tulikutana na shost, nyama na drinks tuliagana. Nimerudi home hubby anauliza shost wa kike au wa kiume? Khaa nilianza kumfahamisha, hapo hawajainana lakini wanajuana.
Nilimuomba huruma, kumbe muda wote alikuwa anaumia!
Kumbe niliposema ninakutana na shost kijasho kilimtoka!Asprini na skay eclat msinifanye nicheke mpaka niji.....e nyie we haya. Najua skay ni mdogo kwangu ila Aspirin sijui. By the way wivu ni dalili nzuri ya kupendwa. Usipoonewa wivu ujue wewe ni kiti cha pembeni.
HiKumbe niliposema ninakutana na shost kijasho kilimtoka!
Bila wivu atajuaje kama kweli nampenda oohh mimi enzi hizo Vijana Jazz.Kuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk.
Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za familia. Tulipanga lazima tuonane. Baada ya kazi nilimtext hubby kwanza nikamueleza kuwa shost yuko mjini na tuta chill kidogo kabla kurudi nyumbani. Alisema poa.
Tulikutana na shost, nyama na drinks tuliagana. Nimerudi home hubby anauliza shost wa kike au wa kiume? Khaa nilianza kumfahamisha, hapo hawajainana lakini wanajuana.
Nilimuomba huruma, kumbe muda wote alikuwa anaumia!
Mimi ni babu yakoAsprini na skay eclat msinifanye nicheke mpaka niji.....e nyie we haya. Najua skay ni mdogo kwangu ila Aspirin sijui. By the way wivu ni dalili nzuri ya kupendwa. Usipoonewa wivu ujue wewe ni kiti cha pembeni.
Nishabadilisha oil kwenye li Toyota Stout...Bila wivu atajuaje kama kweli nampenda oohh mimi enzi hizo Vijana Jazz.
Abiria chunga mzigo wako. Majina yanaseviwa Halima kumbe Hamisi inawezekana shosti akawa kidume watu wameharibikiwa now days
Mimi bibi yako.Mimi ni babu yako
Pita pande hizi kwanza nikupe hela ya kibukuNishabadilisha oil kwenye li Toyota Stout...
Mtu chake, na wewe wakati uko na shost wako ungempigia jamaa aongee nae haswa kwa video call na aone mazingira mliyopoKuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk.
Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za familia. Tulipanga lazima tuonane. Baada ya kazi nilimtext hubby kwanza nikamueleza kuwa shost yuko mjini na tuta chill kidogo kabla kurudi nyumbani. Alisema poa.
Tulikutana na shost, nyama na drinks tuliagana. Nimerudi home hubby anauliza shost wa kike au wa kiume? Khaa nilianza kumfahamisha, hapo hawajainana lakini wanajuana.
Nilimuomba huruma, kumbe muda wote alikuwa anaumia!
Siku hizi umekua na makosa mengi sana ya kiuandishi,nadhani umepunguza umakini baada ya kubase sana na kushabikia siasa,πKuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk.