Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Kuna album moja ya papa wemba nilikuwa nayo mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa na nyimbo nzuri ambazo kwa sasa nimezisahau.
Katika album hiyo kulikuwa na wimbo ambao papa wemba alikuwa akiimba na wacheza shoo wake wa kike waliovalia sketi za charanga. Wakata viuno hao walikuwa wanasubiri papa wemba awataje mmoja mmoja ambapo akimtaja tu anatoka na kuanza kukata kiuno.
Basi kuna mnenguaji mmoja wa kike aliitwa SONYARA anakata kiuno hadi papa wemba akawa anafurahi.
Album ina nyimbo nyingi tu ambazo sizikumbuki majina. Mwenye kuzifahamu nyimbo hizo pamoja na jina la album yake hiyo aweke hapa wale wapenzi wa hizo nyimbo tufurahie.