Wimbo unaitwa Rail onKuna wimbo mmoja wa Papa Wemba kaimba kwa kiswahili
nautafuta youtube siuoni
kuna anaejua any link?
nimeona Azam Two wameuonesha kwenye taarifa zao
The Boss. huo hapo wa 'Rail on' amekuwekea Bala.
Naupenda ipasavyo huo wimbo...
Machozi yangu yote namalizika, mie nitalala na nani we unaenda.
Mie mpaka ni mawazo wow wooo, mie mpaka nikuwaza waza we unaenda unaendaaaa
Kama ile njia yako enda, kama ni maisha yako fata weeee dada..Rail on
Rail on x 3…think that’s the way
Rail on x 3…think that’s the way
Dah yaani hunizidi mimi
amefanya lugha ya kiswahili iwe so romantic na huu wimbo
wimbo mtamu sana...
thanx kwa lyrics...
Hii ndio video uliyoiona Azam TV Bossman
Tunaipoteza historia taratibu, kwa kujitoa ufahamu na tamaduni ya "mambo leo"Dah yaani hunizidi mimi
amefanya lugha ya kiswahili iwe so romantic na huu wimbo
wimbo mtamu sana...
thanx kwa lyrics...
Enjoy my Boss 🙂 ni kweli umekuwa romantic kwa kiswahili.
Sijamalizia lyrics. utapata Youtube kuna lyrics video. Rail on!!
Kuna huu na nyimbo nyingine za Lokua Kanza ameimba Kiswahili...Ni nzuri sana sema zinapuuzwa tu...Hazipewi airtimeMkuu Bala thanks
yaani najiuliza why nyimbo kama hizi ziko very very few
yaani unausikiliza unakuteka kabisa...unam feel maumivu yake...
Hahaaa....Usilie shem...Nimekukosa sana shem......nasikia kulia ujue........
Chica.....como vas.....?