Huu wimbo unaitwaje?

Huu wimbo unaitwaje?

Mtuache

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
260
Reaction score
707
Habari wana JF

Kuna nyimbo fulani nimesahau jina na mwanamziki pia. Ni ya zamani ila sio sana nakumbuka baadhi ya maneno, nitayaandika hapa chini

Maneno nitakayoandika ameimba mwanaume (mbaba mtu mzima) ila anaeitikia ni mwanamke (mmama mtu mzima pia)

Mwenye atakewezea kuutambua naomba aniambie: nitashukuru sana

¶Nipeleke nipeleke Mwanza
¶Mwanza sehemu gani
¶Mwanza pale misungwi
¶Unakwenda kumuona nani
¶Nakwenda kumuona Mama
¶Atakupa zawadi gani
¶SATO NA SANGARA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom