divino
Member
- Sep 19, 2017
- 62
- 77
Wasalaam wakuu,kuna wimbo nineusikia mahali fulani na baadhi ya mashairi yake ndio haya
Wimbo ni wa gospel
....
Mimi ninae rafiki,
Pendo lake la ajabu kwangu
Alikubali mauti,ili anipate mimi
Kwake napata vyote ananitoshelesha,kwangu moyoni amekaa..
Amenipa uzima,uzima wa milele..
Anipenda Yesuu,ninampenda yesu wanguu..
Wimbo ni wa gospel
....
Mimi ninae rafiki,
Pendo lake la ajabu kwangu
Alikubali mauti,ili anipate mimi
Kwake napata vyote ananitoshelesha,kwangu moyoni amekaa..
Amenipa uzima,uzima wa milele..
Anipenda Yesuu,ninampenda yesu wanguu..