Sijakuamini na hadithi yako.
Ina maana mwenye simu ya marehemu anamjibu kila mtu kuwa alikufa kwa ngoma? Yaani stranger tu anajibiwa mpaka majibu y kwenye death certificate?
Hahaha inaelekea hiyo simu ilirekodiwa kama majamaa yanayouza sumu ya panya.
Hahaha inaelekea hiyo simu ilirekodiwa kama majamaa yanayouza sumu ya panya.