Hata kama lakini serikali inayojali wananchi wake haiwez kuvumilia utapeli huu udhaifu WA viongozi WA mitaa.. Ebu imagine mzazi wako hajui hili wala lile halafu anatapeliwa.. Ifike mahali wananchi waungane kuwa piga.. Awamu hii no ujanja ujanjaWanalazimishwa kucheza huo mchezo?
Hapa manzese utapeli wa waziwazi wanajifanya kuna mchezo wa bahati nasibu unachagua namba ya bahati unaposhinda unapewa pesa no wizi ambao serikali unaujua kuanzia ngazi ya wilaya mpaka ngapi wilaya wanajua kuwa wananchi wao wanaibiwa sasa inakuaje serikali inashirikiana na wahuni kuwatapeli RAIA wake. Kiukweli tumelichoka na Hawa watu vile vile pia ni la udhalilishaji maana wahanga wengi ni wanawake wanapokuwa wameliwa pesa zao wanaambiwa wacheze mziki ili warudishiwe pesa zao hucheza hapo bila mafanikio yeyote inawadhalilisha vile vile inatuletea sifa mbaya hususan sisi wakazi wa manzese
Pole bado unafanya hiyokitu. Yaani mie nikiwaona huwa nawaangalia tu na kusepa. Sipendagi ujinga kabisaa[emoji12]Hapa manzese utapeli wa waziwazi wanajifanya kuna mchezo wa bahati nasibu unachagua namba ya bahati unaposhinda unapewa pesa no wizi ambao serikali unaujua kuanzia ngazi ya wilaya mpaka ngapi wilaya wanajua kuwa wananchi wao wanaibiwa sasa inakuaje serikali inashirikiana na wahuni kuwatapeli RAIA wake. Kiukweli tumelichoka na Hawa watu vile vile pia ni la udhalilishaji maana wahanga wengi ni wanawake wanapokuwa wameliwa pesa zao wanaambiwa wacheze mziki ili warudishiwe pesa zao hucheza hapo bila mafanikio yeyote inawadhalilisha vile vile inatuletea sifa mbaya hususan sisi wakazi wa manzese
Huyu yatakuwa yamemkuta[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Shemeji kachezeshwa mziki alafu na pesa hajarudishiwa?[emoji23] [emoji23]
Hawakulazimishi ila kamari za kitapeli ni haramu ni makosa ya jinai. Hivyo tuwakemee wanaoshiriki kucheza, kuchezesha nk.Wanalazimishwa kucheza huo mchezo?
serikali inatakiwa kulinda raia wake hata kama ni wajinga. pyramid schemes ni hiyari ila serikali imezuia ili kulinda raia. kwenda kwa maloan shark ni hiari ila serikali iazuia hizo mambo ili kulinda raia.UNAILALAMIKIA SERIKALI HATA KATIKA UJINGA WAKO WW WA WAPI?? Maana KUNA SEHEMU NIMESOMA WANAWAKE WANAILALAMIKIA SERIKALI HAIWATAFUTII WAUME WA KUWAOA ACHENI KUKALAMA KILA JAMBO HATA KATIKA JAMBO LINALOSABABISHWA NA UZEMBE NA TAMAA ZA KUJIPATIA KIPATOTO KIKUBWA KWA NJIA YA MKATO
Hiyo ni biashara haramu ni kosa la jinai kuchezesha. Jamhuri ina wajibu wa kuwalinda wajinga pia.Hauwezi kukomeshwa huo mchezo kwa sababu wajinga hawaishi hata siku moja. Na ikifikia ujinga umekwisha kabisa hata wale manabii mabilionea hawatapata mteja hata mmoja.
Acha ulafaWanalazimishwa kucheza huo mchezo?