Because in this generation the hypocrites and pretenders outnumber the real and faithful people.I learned long ago that risking your life for Tanzanians isn’t worth it — they won’t do the same for you.
Mambo yanayowezekana, ya nini kuuachia utabiri uyatekeleze? Imeandika katika cha Chawa 3: 1 - 3Kwa hiyo Sheikh katuingiza chaka sio ?
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuniHUU UTABIRI WA SHEIKH WETU UTATIMIA KWA HALI YA KISIASA YA SASA AU NDIO MASWALA YA IMANI
Aaah thubutuuuu, nani wa kuandamana? Mmeshindwa kuandamana kwenye mambo ya msingi, mnataka kuandamana kupigania ulaji sio?Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuni
View attachment 3433584
Mafwele, kila jambo na wakati wake, wewe endelea kupigania ugali wako. Sisi tutaandamana kupinga ulaji wa hizi familiaAaah thubutuuuu, nani wa kuandamana? Mmeshindwa kuandamana kwenye mambo ya msingi, mnataka kuandamana kupigania ulaji sio?
Haya, ingia road tuone....Mafwele, kila jambo na wakati wake, wewe endelea kupigania ugali wako. Sisi tutaandamana kupinga ulaji wa hizi familia
2030 wapinzania kama wataanza kujipanga kuanzia sasa wanaweza kufanikisha maana kutoka 2026-2030 nchi itaingia ktk ufisadi ya kupindukia.HUU UTABIRI WA SHEIKH WETU UTATIMIA KWA HALI YA KISIASA YA SASA AU NDIO MASWALA YA IMANI
Upinzani utatoka ccmKwa Upinzan gan?
Project za MsogaUpinzani utatoka ccm
Mpina!Kwa Upinzan gan?