marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 967
- 1,693
Bado napiga mahesabu huu usajili wa GRIEZMAN ndan ya kikos cha barcelona najaribu kuvuta picha ya wachezaj waliofos kwenda BARCELONA na mwisho wa siku wakapotea kabisa na aina ya mfumo ndan ya kikos cha barcelona
THOMAS VARMALEEN huyu alikuwa ni moja ya mabeki bora pale kwenye kikos cha the gunners na epl kwa ujumla lakn alipoamua kujiunga na barcelona mwisho wa siku tumeona jamaa akikosa kabisa nafas ndan ya kikos cha barcelona na mwisho wa siku yupo bench
ARDAN TURAN kiungo fund alievivutia vilabu vya MANCHESTER UNITED MANCHESTER CITY CHELSEA ARSENAL REAL MADRID PSG lakn mwisho wa siku jamaa aliamua kujiunga na barcelona hatimae akapotea na kurudi kwao uturuk
ANDRE GOMES uchezaj wake hauna tofaut na fabregas huyu dogo ni kiungo fund sana mwanzo kabla ya kujiunga na barcelona aliwindwa na kikos cha ARSENAL lakn akaamua kujiunga na klabu ya barcelona na mwisho wa siku akashindwa kuonyesha kipaj alichojaliwa na mungu na hatimae akafos kuondoka na kupelekwa everton kwa mkopo wenye kipengele cha kunuliwa moja kwa moja
YERE MINA beki aliekuja kwa kasi sana na kuivutia klabu ya MANCHESTER UNITED ambao walishakuwa tayar kulipa £35 lakn dogo aliamua kujiunga na barcelona kwa dau la £30 na mwisho wa siku akaishia kusugua bench na kuamua kuondoka kuijiunga na everton kwa mkopo
Akilini inanijia sura ya phelipe Cortihol
Instagram @kingo_sr