• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Huu usajiri wa Griezman una nikumbusha wakina VARMALEEN,ARDA TURAN NA ANDRE GOMEZ

mwanaspotiapp

mwanaspotiapp

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Messages
334
Points
1,000
mwanaspotiapp

mwanaspotiapp

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2017
334 1,000
Bado napiga mahesabu huu usajili wa GRIEZMAN ndan ya kikos cha barcelona najaribu kuvuta picha ya wachezaj waliofos kwenda BARCELONA na mwisho wa siku wakapotea kabisa na aina ya mfumo ndan ya kikos cha barcelona

THOMAS VARMALEEN huyu alikuwa ni moja ya mabeki bora pale kwenye kikos cha the gunners na epl kwa ujumla lakn alipoamua kujiunga na barcelona mwisho wa siku tumeona jamaa akikosa kabisa nafas ndan ya kikos cha barcelona na mwisho wa siku yupo bench

ARDAN TURAN kiungo fund alievivutia vilabu vya MANCHESTER UNITED MANCHESTER CITY CHELSEA ARSENAL REAL MADRID PSG lakn mwisho wa siku jamaa aliamua kujiunga na barcelona hatimae akapotea na kurudi kwao uturuk

ANDRE GOMES uchezaj wake hauna tofaut na fabregas huyu dogo ni kiungo fund sana mwanzo kabla ya kujiunga na barcelona aliwindwa na kikos cha ARSENAL lakn akaamua kujiunga na klabu ya barcelona na mwisho wa siku akashindwa kuonyesha kipaj alichojaliwa na mungu na hatimae akafos kuondoka na kupelekwa everton kwa mkopo wenye kipengele cha kunuliwa moja kwa moja

YERE MINA beki aliekuja kwa kasi sana na kuivutia klabu ya MANCHESTER UNITED ambao walishakuwa tayar kulipa £35 lakn dogo aliamua kujiunga na barcelona kwa dau la £30 na mwisho wa siku akaishia kusugua bench na kuamua kuondoka kuijiunga na everton kwa mkopo

Akilini inanijia sura ya phelipe Cortihol

Instagram @kingo_sr
2111241_IMG_20190712_210344_589.jpeg
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
15,954
Points
2,000
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
15,954 2,000
We jamàa upo negative kwa kila kitu wenye soccer, sujui kama ulishawahi cheza mpira
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
3,884
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
3,884 2,000
nashakuru sana now yule mkurugenzi wa ufundi kaondoka. maana yeye valvede ni mizinguo tu. valvede nae ajiangalie.
yeri mina nilikuwa namkubal kinoma lakn alipo sasa kunasikitisha!
usisahau arda thuran alvokuwa wa moto alivyotua kwetu barca sijui nn kilmpoteza
 
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Messages
4,180
Points
2,000
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2019
4,180 2,000

Unanyanyua pua kabisa kusema yeri Mina ni mchezaji
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
3,884
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
3,884 2,000
Unanyanyua pua kabisa kusema yeri Mina ni mchezaji
Siwezi Bishana Na Wew
Tangu Lini Ukaujua Mpira?
Yeri Mina Barca Ilibidi Apewe Muda Tu. Uliona Kule Wc Russia Alivyocheza?? Alikuwa Ana Magol Mangapi? Umemskia Mtoa Mada Kasema Hao Wote Walikuwa Wazuri Ila Walipotea Walpokuja Barca!

Ni Vizuri Kunyamaza Kama Hujui
 
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Messages
4,180
Points
2,000
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2019
4,180 2,000
Siwezi Bishana Na Wew
Tangu Lini Ukaujua Mpira?
Yeri Mina Barca Ilibidi Apewe Muda Tu. Uliona Kule Wc Russia Alivyocheza?? Alikuwa Ana Magol Mangapi? Umemskia Mtoa Mada Kasema Hao Wote Walikuwa Wazuri Ila Walipotea Walpokuja Barca!

Ni Vizuri Kunyamaza Kama Hujui
Mm ndio sijui ila wewe haujui zaidi beki kazi yake kufunga au kukaba?
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
3,884
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
3,884 2,000
Mm ndio sijui ila wewe haujui zaidi beki kazi yake kufunga au kukaba?
mungu wangu!
hivi wewe ni mzima kweli??
wapi nimesema kazi ya beki ni kufunga au kukaba?
beki kufunga ni extra ya kuongeza ubora wake na thamani pia.
kukaba ni kazi yake, na kufunga inabidi akipata chance!
nani atanunua beki hana uwezo wa kufunga magoli muhimu kama ile mipira ya kona inahitaji watu kama kina mina na thiago silva na huwa wanaitendea haki.
usipende kukaririt kama kasuku!

kwaheri
 
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Messages
4,180
Points
2,000
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2019
4,180 2,000
mungu wangu!
hivi wewe ni mzima kweli??
wapi nimesema kazi ya beki ni kufunga au kukaba?
beki kufunga ni extra ya kuongeza ubora wake na thamani pia.
kukaba ni kazi yake, na kufunga inabidi akipata chance!
nani atanunua beki hana uwezo wa kufunga magoli muhimu kama ile mipira ya kona inahitaji watu kama kina mina na thiago silva na huwa wanaitendea haki.
usipende kukaririt kama kasuku!

kwaheri
Kuna team gani kubwa yenye watu wenye akili timamu wameonyesha interest na YERI MINA?
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
3,884
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
3,884 2,000
Kuna team gani kubwa yenye watu wenye akili timamu wameonyesha interest na YERI MINA?
mina alitakiwa asiende barca mapema maana ndo sababu ilofanya wengi wasimuamini maana wengi walimjulia barca hata wewe pia.
pili everton ni timu ndogo sio?
sirudii tena nimefunga mjadala
 
Forum statistics

Threads 1,406,708
Members 532,424
Posts 34,524,280
Top