Huu usafiri wa anga serikali ihalalishe jamani

Huu usafiri wa anga serikali ihalalishe jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,108
Reaction score
34,933
Huuusafiriwaangauhalalishwejamani.jpg

Mnasemaje? bora Uhalalishwe huu usafiri wa anga?
 
Labda anamaanisha utumike hata mchana maana nasikia unatumika usiku tu!!!! Sipati picha!!! halafu kama ndo kusafiri uchi mchana itafaa!!!!!!!!!!!!!! Shetani kwa kuaibisha bana..???
 
mbona ni halali kwa magamba, huyo si msaidizi wa prof majimaref, alimziria baada ya kushindwa arumeru. poor skills of the operator.
 
tatizo sheria za kupaa na hii ndege ndio utata lazima uwe mtupu na midawa kibao halafu lazima uwe na nyeti za mwanamke mrefu
 
Unajua wazee wetu walioa UFO zenye umbo la disc enzi hizo zikirusha Alien waliokuja kuwatembelea wao wakadhani ni ungo.
Teknolojia ya kuruka angani kwa nyungo kubwa ni bab kubwa ndo kwanza inafanyiwa utafiti hapa USA. Fuel yake ni Element 115.
 
Back
Top Bottom