Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Jini mwanywele huyu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] naunga mkono hoja mkuu.
KabisaJini mwanywele huyu
Hata huruma ajionei, vichwa vyenyewe vimetibuka na mawazo, alafu anaenda kujiongezea dude lingine kichwani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabla mwaka aujaisha huu, tutaona mengi.Huu sio urembo Ni ukichaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125]wanawake kuna baadhi ya "fahamu" Mwenyez Mungu kawanyofoa awe amesoma au hajasoma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahaha
Duh mkuu umefikiria nini?nimecheka sana aseeakijizungusha ile style ya Rose Muhando lazima arambe udongo
wewe ni muuaji..[emoji30]Dawa yake kumpitia na kiberiti cha gesi na kukiwasha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tahadhari asipite karibu na moto
Mwenzangu, akipita tandika au mtaa wa congo wanalivuta lote hilo masela.Na hili joto la Dar na hizo nywele