Huu upuuzi wa wakikuyu kumiliki Kenya utakwisha lini?

90% ya wakenya wapo hovyo Sana, ndio sababu Kenya ina matatizo mengi Sana, hawana uwezo wa kufikiria mbali.
Nyinyi wenye uwezo mkubwa wa kufikiria mbona nchi yenu inamilikiwa na wahindi na waarabu huku waafrika ngozi nyeusi wakiwa wapenzi watazamaji?
 
Achana na kenya ni failed state.

Watu wanaobaguana kwa makabila ni wapumbavu wasio na hadhi ya kujadiliwa.
 
So it's no longer about umiliki wa Kenya tena! Usharuka hadi kwenye swala la ukabila baada ya kukupa za uso.
Chizi wewe, kwani wakikuyu kumiliki Kenya si ndio ukabila wenyewe, acheni ukabila wajinga ninyi. Watu wazima mnazungumzia ujinga wa Gikuyu kuwa ndio kabila kubwa wenye haki ya kuongoza Kenya, eti tumeamua kuachia kabila zingine kuongoza kwahiyo nafasi ya naibu rais lazima awe ni mkikuyu, wangese kabisa ninyi.
 
🙈Mazezeta Nyinyi ni wajuaji Sana,Yani kumiliki Kenya unamaanisha aje???Mwenye hii story Ebu tuelimishe kidogo🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom