Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,139
hata mimi ningelikuwa Rais wa hii nchi kila anaye fanya huu unyama wa kumkata Albino Mkono na yeye angelikatwa huo Mkono jicho kwa jicho pua kwa pua jino kwa jinoWana bahati sana hao wanyama wanaofanya huo ukatili. Wana bahati kwa sababu mimi si mwenye mamlaka ya kuamua nini wafanyiwe.
Walahi tena ningekuwa na mamlaka hayo.....dunia nzima ingenisikia.
hata mimi ningelikuwa rais wa nchi kila naye fanya huu unyam wa kumkata albino mkono na yeye angelikatwa huo mkono jicho kwa jicho pua kwa pua jino kwa jino
Serikali gani itakayo fanya hivyo mkuu?Ni hivi; ukimkata mkono albino sisi tunakata yako yote. Ukimkata yote miwili sisi tunakata yako miwili pamoja na miguu yako.
Dawa yao hao wakatili ni kuwafanyia ukatili maradufu.
Serikali gani itakayo fanya hivyo mkuu?
Ndiyo maana siyo kiongozi mpaka leo.Wana bahati sana hao wanyama wanaofanya huo ukatili. Wana bahati kwa sababu mimi si mwenye mamlaka ya kuamua nini wafanyiwe.
Walahi tena ningekuwa na mamlaka hayo.....dunia nzima ingenisikia.
Ndiyo maana siyo kiongozi mpaka leo.
Mungu peke yake ndio atakwenda kushughurika na hawa watu, tumwachie Mungu tu.
Wanachi wenyewe tuende Nguvu kazi kuwasaka wanao wauwa hawa Maalbino tuwamalize kabisa imani putufu ipate kuisha.tuwaache waendelee kukatwa mikono?
Ni hivi; ukimkata mkono albino sisi tunakata yako yote. Ukimkata yote miwili sisi tunakata yako miwili pamoja na miguu yako.
Dawa yao hao wakatili ni kuwafanyia ukatili maradufu.