kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Hivi hili tatizo gani ndugu zangu
Mimi na sumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kuvimba
Yaani nikila kitu chochote au kunwa kitu chochote ni lazima tumbo langu livimbe atari saana na kibaya zaidi na hisi cha kula kinakwama kuingia tumboni mpaka ninwe na maji ndo na hisi kimeingia tumboni
Nina pata maumivu kwa mbali kama vile na chanwa na kitu chenye mcha kali tumboni katikati ya kifua na tumbo