Huu unafiki wa Lowassa unatisha

Bila kubebwa na wajuzi wa kutoa hoja....kwenye kampeni Lowasa atakua kituko.....jamaa hawezi kabisa kutoa hoja...

Hana la kuongea na anapoongea kuichafua serikali ya CCM anajikuta tope lina bounce back na kumchafua yeye.
Anawanyima hata makamanda uhuru wa kuongea kozi watajikuta wanamchafua Candidate wao wenyewe. Sad.
 
Tukisema huyu mtu ana tamaa na madaraka tu na wala hana ahadi za wananchi,watu watanuna,lakini huyu mzee ile ngozi ya kondoo aliyo vaa miaka yote,imechakaa tunaona madoa doa ya chui sasa

Lowasa ninamuogopa sana sasa hvi. Amenifanya nianzea watizama mara mbili mbili watu wa mkoa wa Arusha. Haoni hatari ikana damu yake huyu.
 
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma

Waulize ccm pale mjengoni Leo tunaenda aka hamsini 50 watu wanakomaa hawataki kuachia kiti... Loh...
 
Kama inakuuma ichomoe mkuu. Lawassa ni habari nyingine
 
Watu wanahama dini seuse chama Mwenye nacho J.K.Nyerere alishawaambia ccm sio baba wala mamake mkiendelea kum.boa amgehama chama na nina imani hadi leo angalikuwepo angekuwa na kadi ya c.d.m siku nyiingii.
Mkuu watu wengine kwa sababu ya ufukara wa akili ccm ishakuwa kabila lao
 
Ndi siasa pia kwa hivi sasa yeye c ccm tena kwa hiyo hawez kuisifia ila c kweli vitu vimepanda bei
 
Taifa linaelekea utumwani bila kujijua,,,
 
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma

Habari kama hizi Ni za kuogopwa kama ukimwi
 
Mim naona kwamba lowassa kusema hivyo yuko right sana kwan we ulikuwa unataka asifie CCM
 
Mbona mnawaacha wake zenu mliokaa na kuzaa nao kisha kuwatolea maneno kibao,,
Kizuri ukiwa nacho ukishakitupa kibovuu
 
Tukisema huyu mtu ana tamaa na madaraka tu na wala hana ahadi za wananchi,watu watanuna,lakini huyu mzee ile ngozi ya kondoo aliyo vaa miaka yote,imechakaa tunaona madoa doa ya chui sasa
CCM mpo madarakani 50 years now still na bado mpo tayari hata kuua,mitandaoni humu mnaingia kwa shift kuchafua watu na kupiga propoganda ili muendelee kuwa madarakani-unazungumzia uroho wa madaraka wa aina gani zaidi ya huu au kwa kuwa mishipa yenu ya aibu imeshakata you don't care.
 
Watu wanahama dini seuse chama Mwenye nacho J.K.Nyerere alishawaambia ccm sio baba wala mamake mkiendelea kum.boa amgehama chama na nina imani hadi leo angalikuwepo angekuwa na kadi ya c.d.m siku nyiingii.

Kuna tafsiri mbaya za maneno yaliyomo kwenye hotuba za Mwl Nyerere kama hii aliyonukuu mdetichia. Kauli hii hutumiwa na waliofilisika mawazo. Unaweza kuchagua rafiki lakini siyo ndugu wahenga walinena. Kiongozi mahiri hujenga hoja ndani ya chama chake na kushawishi wenzake. Tunayo mifano mingi ya wapigania uhuru ambao wamefia kupigania haki na uhuru na waliotumikia jela kwa sababu hiyohiyo.

Nasaha nyingine ni ile ya kupata mabadiliko nje ya CCM. Maana kubwa hapa ni tahadhari kwa CCM kuenenda na mabadiliko la upinzani utaleta mabadiliko na siyo waliomo CCM wahamie upinzani. Nawasilisha.
 
Taifa linaelekea utumwani bila kujijua,,,
sasa hivi tupo wapi?watanzania wangapi wanauwawa kisa ardhi?wasomi wetu wanarandaranda mtaani hata kama wana good business ideas hawakopesheki kwa kuwa benki zipo kwa ajiri ya wageni tu.

By the way-wewe unashabikia ccm watoto wako wameenda shule?au wewe viatu na dela are enough
 
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma

Uchu madaraka wanao ccm...waliokaa miaka 50 wanazurura tu na bado wanataka kwenda ikulu kwa goli la mkono..
 
vumilieni dozi iwaingie vizuri..angekuwa mnafiki baada ya kukatwa angeelea kubaki nyie
 
Una maanisha nini mkuu.Walipigania uhuru na haki ya nchi au Chama?Na lowasa anafanya nini now?Au ndo zile zile akili za maccm za kuwaona wasio humo kichakani si watanzania.Yaani mmetuibia sana na kukaa kwetu kimya mmeshatuona wajinga siyo? SASA kwa taarifa yako MAJANI YAMESHAKAUKA alikuwa anasubiriwa mtu wa kuwasha moto tu.Kama hamuamini try
 
Lowassa amewanyima makamanda uwezo wa kuongea. Leo yule mgombea mwenza amelitamka neno "RUSHWA" kwa kusitasita koz anajua mla rushwa na jambazi yuko pembeni yake.
Watizame akina MNYIKA,MSIGWA wanavyotia huruma.
Hawana maneno tena. Hata sijui wataanzaje msafisha LOWASA majukwaani. Sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…