Nimekuwa nikifuatilia masuala yanayohusu taifa letu(TZ), miezi kadhaa iliyopita nilisikia ktk vyombo vya habari eti 'wahisani waipongeza TZ na waitaja kama mfano wa kuigwa ktk mapambano dhidi ya rushwa&ufisadi'! Leo kwenye magazeti eti Tz kinara wa Utawala bora africa!! Hawa watu wa kimataifa wana2mia vigezo gani? Au wanafichwa ukweli na watawala we2?