Huu umasikini si mzuri

Huu umasikini si mzuri

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,416
Nmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea.

Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane.

Ghafla inaingia text inaniomba buku jero huku nadaiwa songesha, mwili umesisimka na sina ata mia ndani,m.

Uzuri nisipotuma atajua sina ila umaskini sio mzuri

IMG_1421.jpg
 
Nmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea.

Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane.

Ghafla inaingia text inaniomba buku jero huku nadaiwa songesha, mwili umesisimka na sina ata mia ndani,m.

uzuri nisipotuma atajua sina ila umaskini sio mzuriView attachment 2225364
Dah usifanye Hilo kosa Tena, huwezi kumwambia demu hivyo
 
Pole mkuu... nnavoona hapo interface ya simu yako ni apple. Uza hilo tunda nunua techno iliobaki fanya mtahi wa ile biashara jamaa alisema ya matikiti
 
Pole mkuu... nnavoona hapo interface ya simu yako ni apple. Uza hilo tunda nunua techno iliobaki fanya mtahi wa ile biashara jamaa alisema ya matikiti
Kama ni 5 je, hata mtaji hautoshi
 
Karibu JF ambamo wanaume wake wote wana ma Range isipokuwa mwanzisha uzi ambae anaamka asubuhi bila mia mfukoni!
Mm Nina gar ila CYO rang rover ingawa sas HV nimepaki had Hali ya uchumi wangu uimarike
 
Back
Top Bottom