Huu umasikini si mzuri

Huu umasikini si mzuri

Nmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea.

Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane.

Ghafla inaingia text inaniomba buku jero huku nadaiwa songesha, mwili umesisimka na sina ata mia ndani,m.

Uzuri nisipotuma atajua sina ila umaskini sio mzuri

View attachment 2225364

Unatumia I phone na huna buku jero acha utani
 
Pole mkuu...


Ila sasa huku ulipoleta huzuni kuna wanaume wenzio watakuomba namba ya mchuchu wako wamtumie buku jero.
 
ucruhusu kupenda angali huna hela ni mateso
 
Back
Top Bottom