Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

[emoji23][emoji23][emoji23]Gwajima huwa ananifurahishaga sanaa....hasa akianza kuongelea chopa yake
An ahahahahaa haha haha tupo wengi, anakwambia nikatua hapa,nikatua hapa, nikatua pale, nikatua daresalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo siku ya kutua hapa kutua pale jamani nilicheekaaa, itabidi jumapili ijayo niende tu ufufuo na uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…