Huu ulaji wa wali siuelewi

Huu ulaji wa wali siuelewi

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,347
Reaction score
2,211
Kuna style ya ulaji wali kwangu ni mpya. Mdau anatengeneza Tonge la wali na kuchovya kwenye mchuzi kama ugali halafu linapelekwa mdomoni.

Ulaji huu unasambaa sana kanda ya ziwa. Kama hujazoea ni changamoto kiasi hasa ukiwa mgeni wa kaya ambayo hutumia sahani moja wakati wa kula.
 
hii nchi ina mambo ya ajabu sana...,hadi namna ya kula wali inajadiliwa??

kaaaaazi kweli kweli
 
Kuna style ya ulaji wali kwangu ni mpya. Mdau anatengeneza Tonge la wali na kuchovya kwenye mchuzi kama ugali halafu linapelekwa mdomoni.

Ulaji huu unasambaa sana kanda ya ziwa. Kama hujazoea ni changamoto kiasi hasa ukiwa mgeni wa kaya ambayo hutumia sahani moja wakati wa kula.
😁😁 tenah chakula kikiwa cha Moto wanakuacha
 
Kuna style ya ulaji wali kwangu ni mpya. Mdau anatengeneza Tonge la wali na kuchovya kwenye mchuzi kama ugali halafu linapelekwa mdomoni.

Ulaji huu unasambaa sana kanda ya ziwa. Kama hujazoea ni changamoto kiasi hasa ukiwa mgeni wa kaya ambayo hutumia sahani moja wakati wa kula.
Wali wao, mboga yao, kula watapanga wao.

Ukitaka kula style yako wali wako na wewe ni haki yako.
 
Kwani umewanunulia huo msosi mpk ujadili Style ya kula,
Au mwanaume mzima unaleta mada kama hii tujadili, Ebu kajadili na dada zako huko 😀😀
 
Hata hivyo niliowalenga kwenye huu mjadala ni dada zangu
 
Huo ni uchafu mbona.

Wasukuma mje hapa,mnakula hovyoo na ni wachafu
 
Back
Top Bottom