Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,413
Una uhakika sijafanya hivyo?"tap to learn more" umefanya hivo..
Acha uvivu click hiyo link ujifunze zaidi.
Usipoelewa huko sasa ndio urudi kuuliza hapa.
Ni ushauri tu.
Nashukuru mkuu kwa mwongozo, haya mambo ya teknolojia tunatofautiana ufahamu hata wa lugha tu, wadau waelewe hivyo.Ni code ya end to end encryption.
Unaweza ku disable hio notification kwa kwenda setting kwenye security ipo option ya ku disable security notification.
Maelezo zaidi
Kwahiyo Tuseme umezi-identify... Ehe? Utazifanyia nini... Utamtapeli? Acha u-much know!!!Hizo namba kwa jinsi ulivyozificha ni rahisi sana kuzi identify.
Acha kua na akili matope wewe,comment yangu ni kama nimemtahadharisha tu kua kama aliamua kuficha hizo namba basi angekua muangalifu zaidi coz jinsi alivyo zificha ni rahisi kwa mtu kuzi identify,Kwahiyo Tuseme umezi-identify... Ehe? Utazifanyia nini... Utamtapeli? Acha u-much know!!!
Kwahiyo hapo hujaona msaada??Una uhakika sijafanya hivyo?
Siku nyingine ujifunze, km huwezi kusaidia basi angalau usidhuru.
Una u much know wa kijinga sanaKwahiyo hapo hujaona msaada??
Nimekwambia click hiyo link ukajifunze zaidi.
Kama mtu unaejielewa ungesema nimeclick na sijaelewa. Namna gani we kijana..
Ndgu au hujui maana ya much know??Una u much know wa kijinga sana
Acha kabisa mkuu nimeshukiwa jumla jumla ๐๐.Watanzania mbona mmekuwa wepesi wa hasira sana? Tatizo ni nini? Mama nae haeleweki?
Sorry mkuu, nje ya mada,Ni code ya end to end encryption.
Unaweza ku disable hio notification kwa kwenda setting kwenye security ipo option ya ku disable security notification.
Maelezo zaidi
Pop up ni jambo jengine halina mahusiano na notification kutokea ama la, pop up ni kile kibox hutokea mtu aki kutumia Msg unamjibu bila kuingia whatsapp.Sorry mkuu, nje ya mada,
Nina tatizo la notification kwenye WhatsApp, yaana data ikiwa on message haziingii mpaka uende kwenye app yenyewe ya WhatsApp ndio message zinaingia, SIMU YANGU NI ANDROID 10 NA NIMEANGALIA KWENYE SETTING NIMEONA POP NOTIFICATION IMEKUWA DISABLEView attachment 1854934
Unafikiri hadi nascreenshot, naedit na kupost hapa sikuyaona hayo maandishi?Kwahiyo hapo hujaona msaada??
Nimekwambia click hiyo link ukajifunze zaidi.
Kama mtu unaejielewa ungesema nimeclick na sijaelewa. Namna gani we kijana..