Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Kwenda huko.Hata hii thread yako ni mbaya mno, jiandae kwenda jela
Kama tumefika huko bora tuhame nchi tuwaachie wenye nayo.Hata hii thread yako ni mbaya mno, jiandae kwenda jela
Mbona mwoga hivyo Mkuu?Kama tumefika huko bora tuhame nchi tuwaachie wenye nayo.
Kumbuka msemo usemao mbabe mpisheMbona mwoga hivyo Mkuu?
Uhame nchi utadhani ina mwenyewe?
nchi ni yetu sote, tutabanana hapa hapa. Huyo anayedhani kupewa nafasi ya kuongoza basi ameishakuwa mwenye nchi anajidanganya tu.
Mkuu unauliza swali wakati umeona mwanasheria anasema ni hatari na anatafuta jinsi ya kuwasaidia wateja wake ambao wamefanya hivyo?Jamani naombeni niwape warning...
Tafadhalini sana msiforward kabisa message za kisiasa ziwe za ndani ya nchi au nje au message zozote za kashfa. Lawyer mmoja mahiri sana kaniambia sheria ya mtandao ni mbaya kuliko mnavyodhani. Ana kesi mbili za watu wameforward messages anasema ni mbaya mno wanatafuta namna yakuwasaidia wateja wao hawaoni namna gani wanaweza kushinda. Kaniambia never forward or kutoa comments...
Forwarded as Received...
Swali, Je hii ni mbinu ya serkal kutisha watu?
Kufowardi message ya kisiasa imekuwa ni kosa toka lini hapa Tanzania?
Uchochezi maana yake ni nini?Ukifanya uchochezi lazima ushughurikiwe
Wazo lako lipo huru kabisa na limenifanya nicheke sana...Nadhani hakuna sababu ya kumuogopesha mtu kwenda jela kwasababu Tanzania is a big prison already
Sio "ushughurikiwe" ni ushughulikiwe. Humu jf nadhani kuna watu wengi sio raia na kiswahili kinawapiga chenga.Ukifanya uchochezi lazima ushughurikiwe
Ujinga was kuogopa kivuli chako pyuuuuuu mjinga kweli weeHata hii thread yako ni mbaya mno, jiandae kwenda jela
Watanzania wanafiki sanaUjinga was kuogopa kivuli chako pyuuuuuu mjinga kweli wee
Kiswahili na uraia wapi na wapi?Sio "ushughurikiwe" ni ushughulikiwe. Humu jf nadhani kuna watu wengi sio raia na kiswahili kinawapiga chenga.
Nadhani hakuna sababu ya kumuogopesha mtu kwenda jela kwasababu Tanzania is a big prison already
Ha ha ha, sii unajua kuna kiswahili cha Burundi na TZ mkuu?Kiswahili na uraia wapi na wapi?