Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ama wa India

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ama wa India

Nvgt

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
27
Reaction score
2
Uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Attachments

  • 1418568259102.jpg
    1418568259102.jpg
    23 KB · Views: 2,297
Wakazi wengi wa Mtendeni wanaasili ya kihindi. Ulitegemea mtaa wao uwe na kabila gani?

Sijamaanisha ivo.
I just posted it for fun.
Samahani kama nimekukela.
 
Sijamaanisha ivo.
I just posted it for fun.
Samahani kama nimekukela.

Sijakwazika mkuu! Hata kidogo. Nisawa na kwenda kijijini vunjo halafu utegemee wagombea kuwa wanyakyusa au wasukuma!
 
Mtaji wa ccm huo,ccm huwatishia kupata michango na kura
 
attachment.php

Bado kidogo hawa jamaa wataingia Ikulu kwa upuuzi wa ccm.
 
Mkuu, ubaguzi ni dhambi mbaya sana kuwahi kufanywa na binadamu. Imetugharimu kwa karne kadhaa na inaendelea kufanya hivyo. Tusitazamane kwa rangi wote tu Watanzania.

Waulize wale wote walioajiriwa na hao unaowatetea.

Jamaa wanaubaguzi wakutisha tena namatusi juu

Kama ukitaka kuoa hawajamaa watafanya kila jitihada usipate mke wakihindi, wachache waloweza testi ya ubaguzi wanaijuwa.

Kifupi hawajamaa wanatubaguwa kupita kiasi watu weusi. Naongelea wahindi.
 
Hawa wajamaaa wanaubaguzi hatari sana, upo nchini kwa watu then wew ndo unawabagua hao watu!?? Thats why wanaogopa kupita pita au kuishi mitaani.
Nakumbuka miaka flani hivi nyt kule posta walitaka fumuliwa vichwa na mjeda mmoja, coz mwenyekiti wa mtaa wa kule akiwa na ulinzi shirikishi alikuw akiwachapa wanafunzi wa vyuo walikuwa wapo around usiku. Hii kitu siwez isahau walipigwa vichwa wahindi,
 
Nini cha ajabu waki ingia ikulu, wacha ubaguzi huenda wakawa niwa zuri kuliko hao unao wataka waingie huko

Nyie ndiyo mnatia nchi hii nuksi.Wahindi warudi kwao india,hapa Tanzania wanaganga njaa tu.

Harbinder sing seth-mwizi,Jeetu Patel mwizi,Manji mwizi,na maccm bado yanawakumbatia tu.
 
Back
Top Bottom