Abigail2011
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 519
- 230
Wadau habarini za asubuhi;Wadau mimi huwaga napanda haya mabasi ya mwendo kasi pindi niendapo na nitokapo kazini,na kituo changu kikuu cha kushukia nakupandia wakati natoka kazini ni pale kwenye kituo cha posta.
Sasa pale kuna kile kituo cha zamani kimeezekwa na slab ya zege, pale juu ya hii slab pamegeuzwa ni dampo la taka,sasa sijui wahusika wa mazingira hawalioni hilo au hawajui.
Kwa kukazia huu uzi angalieni hii picha.