Huu ubishi, nipeni maoni yenu.

Baba kakosea.
Kumsomesha mtoto ni jukumu lake tena la kisheria. Mtoto angeweza kwenda kumshitaki baba kwa kutomsomesha. Sasa baba atambue kuwa kusomesha mtoto sikuwekeza na mtoto wala hatadaiwa popote kumtunza baba kisa alimsomesha.
Ila kijana pia aangalie laana itamuotea.
 
Remmy ur rite.. . Mkwai well said. cna comment zaid naunga mkono hoja za watajwa hapo juu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom