Naomba nikulize tafadhali usinielewe vibaya Kwani nibaridi kiasi gani? au unataka bao ngapi kwa week?Atleast umoto wa kujisikia kua nimo 'ndani' na sio nje. Kukiwa na hali hii unahitaji sana kujijengea hisia mwenyewe. Ukweli nakubali mapungufu, ndo maana sitaki kuachana nae. Pili; japo sijabobea, nahisi idadi ya ejaculation per activity itaendana na joto la 'ndani'
Mradi umesema ukiongeza msuguano joto linakuja...nakushauri uendelee naye ila usipunguze speed wakati wa ku-do..
By the way umejuaje kama akiwa wa baridi anakuwa sio mzuri?...jitahidi wakti mwingine kuwa wa kwanza kuvumbua vitu vizuri.............amuoe nani sasa huyo?
hahahhahha! nimejikuta nacheka tu kaka mkubwa manake swali lako kwake kiboko.Mradi umesema ukiongeza msuguano joto linakuja...nakushauri uendelee naye ila usipunguze speed wakati wa ku-do..
By the way umejuaje kama akiwa wa baridi anakuwa sio mzuri?...jitahidi wakti mwingine kuwa wa kwanza kuvumbua vitu vizuri.............amuoe nani sasa huyo?
hahahhahha! nimejikuta nacheka tu kaka mkubwa manake swali lako kwake kiboko.
ila ukweli nawashangaa sana vijana wa siku hizi ama sjui ni ile stail ya uhuru wa kuongea?? yaani mambo yao siku hizi yamekua kama kuongelea uso ama jicho vile.unakuta mkaka ama binti akitoka na mwenzie wakirudi ni kuchambuana kama karanga hakuna jingine.
hivi can't you pple think of another way of doing this?? yaaani bora sasa hata ungem-pm mtu kwamba help me out of here. lkn kusema haya huku umeshakuja na uzi natafuta mke wa pili naona kichefuchefu kabisaaaa.
haya unataka mke wa pili kumbe hata mmoja huna?? GODFORBID,, MNAHARIBU JAMVI JAMANI KWA STAILI HII HASA HILI JUKWAA LETU PENDWA!!
waoaji wengi tumechukua machine used bro!!!! ni wachache wanaoweza kutamba kuwa walifunua wenyewe kama sio kulindiana heshima tu na mkeo!!!
Unakaribishwa promiseme. Naweza nisielezee hali vizuri zaidi ya kwamtoro hapo juu (ameelezea vizuri). Kupata bao la pili ni kazi especially kama dhana ya mapenzi ni 'kufurahiana', inabidi ujitume hasa.Naomba nikulize tafadhali usinielewe vibaya Kwani nibaridi kiasi gani? au unataka bao ngapi kwa week?
ishu ni kwamba umeleta uzi hapa ukhitaj mke wa pili ilihali huna hata mmoja sasa tukuelewe vp?? ungekaa kwanza ukasoma jamvi likoje sio kuja na nyuzi ambazo zina cancel each otherSamahani kama nimekukwaza. Najaribu kuongea jamvini kwa uwazi nikiamini kuna wanaweza patikana watu muafaka wa kunisaidia. Kum-pm mtu ni jambo zuri lakini nahisi ningepunguza wigo kwani simjui mtu sahihi wa ku-pm.
Kama nilivyosema hapo juu; sifa zingine za mke anazo nyingi kama tabia, upendo kwa ndugu na marafiki, n.k,
hahahaahahah minekumisije hahahah huyo ni wake peke yakeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hahahaahahahaMradi umesema ukiongeza msuguano joto linakuja...nakushauri uendelee naye ila usipunguze speed wakati wa ku-do..