Maua na hiyo kitu ungechagua nini shansarie?
Atakuwa anakula kidogo kidogo mshana jr
Katumia vitu asili, ndio uzalendo huo miss neddy, ulitaka aende ma jewelries au smart phonez?
Huyu jamaa kwenye hii picha anaonesha uzalendo: lakini hawa dada zetu wa dotcom watamuona kama mshamba
View attachment 139226