Huu sio wizi mwingine wa mchana Kweupe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu sio wizi mwingine wa mchana Kweupe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, Aug 4, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kuna ndugu yangu ameniambia Uingereza kuna maeneo yamebandikwa mabango kuwa Tanzania ina njaa ya kutisha na inahitaji msaada wa chakula...mabango haya yapo sehumu zenye mikusanyiko ya watu kama station za train na vituo vya mabasi, Watu wa wizara ya kilimo na chakula hii ni sawa?? Swali: ubalozi wetu unajua hii ishu?? nani anahusika na kuweka haya mabango? michango inawafikia walengwa??
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  weka picha kwa uthibitisho!
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe unashangaa nini, kama watu wana hela za kuchangia?
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mimi kinachoniuma
  na hawa majirani Zetu
  Wa Somalia .....

  Maana njaa walio nayo
  Sio ya kwenye mabango...
  Hawa ndo wanahitaji misaada yote ..
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  afu wakusanyaji wa hizo pesa ni akina nani?
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu hilo ni swali hata mimi najiuliza... hii ni jamaa tu kakuta bango
   
Loading...