donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Una umri gani?Hapo mkuu kwani kuna tatizo gani hadi uandike hivyo? Nchi hii ina takribani watu milioni 46 haiwezekani wote tuwe tunafikiria sawa katika kila kitu bali katika vitu vya msingi tu kama vile kutotembea uchi labda uwe kichaa hivyo kwa hao vijana mimi naona kuwa hamna shida.
Una umri gani?
Ulichikiandika hakiwezi kujadilika bila kufahamu umri wako! Tafadhali!Jadili hoja na siyo umri wa mtu.
Mbona hamkutoa support kwa serikali wanao maliza form 6 waende mafunzo ya jeshi? Au mnafikiri serikali haikuona mbali? Abiria chunga mzingo wako!ni aibu. enzi zetu kulikuwa na mchakamchaka shule huku tunaimba
alisema alisema nyerere alisema
vijana wangu wote mmelegea
sharti tuanze mchakamchaka.
ningewashahuli watawala mchakamchaka urudi na kilimo kwenye shule za msingi. maana elimu ya shule ya msingi ndio ya muhimu kupata vijana wakakamavu.
Ulichikiandika hakiwezi kujadilika bila kufahamu umri wako! Tafadhali!
kuwapeleka jkt ni vyema lakini tuanze kuwalea kikakamavu kuanzia chini. samaki mkunje angali mbichi au umesahau mkuuMbona hamkutoa support kwa serikali wanao maliza form 6 waende mafunzo ya jeshi? Au mnafikiri serikali haikuona mbali? Abiria chunga mzingo wako!