huu sio utani juu ya haya

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Ofisi za serikali watumishi wengi wana degree, diploma na certifiates za kutendeneza/ kuchongesha na wala hawakuwahi kwenda ktk hivyo chuo, taasis na mashirika ya watu binafsi ndo usiseme, harafu tunalalamika utendani/ ufanisi wa kazi
 
Vipi Mkuu,mbona hueleweki au ndio Bwimbwi limejaa kichwani?angalia usije pasuliwa yai.
 
Back
Top Bottom