itoko jr JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,125 Reaction score 2,542 Apr 6, 2023 #21 Equation x said: Ikitokea hivyo tutakuwa tumekubaliana; ndio maana hatujisumbui na hawa wa QUOTE][emoji119][emoji119] Click to expand...
Equation x said: Ikitokea hivyo tutakuwa tumekubaliana; ndio maana hatujisumbui na hawa wa QUOTE][emoji119][emoji119] Click to expand...
Ironbutterfly JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 3,039 Reaction score 8,242 Apr 6, 2023 #22 Mimi nimekuja mwanza kula pasaka na mwanangu,nawakaribisha wanajf wa mwanza tujumuike pamoja🙏
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,405 Reaction score 114,843 Apr 6, 2023 #23 Equation x said: Wanapiga sana mizinga Click to expand... Ndio uhalisia wao
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,338 Apr 6, 2023 #24 Umeiomba kitaalamu
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 25,063 Reaction score 82,016 Apr 6, 2023 #25 Dr criminal said: Umeiomba kitaalamu Click to expand... Kabisa yaani[emoji23]
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,624 Reaction score 65,097 Apr 6, 2023 Thread starter #26 Ironbutterfly said: Mimi nimekuja mwanza kula pasaka na mwanangu,nawakaribisha wanajf wa mwanza tujumuike pamoja🙏 Click to expand... Asante sana, watakaokuja watatuwakilisha
Ironbutterfly said: Mimi nimekuja mwanza kula pasaka na mwanangu,nawakaribisha wanajf wa mwanza tujumuike pamoja🙏 Click to expand... Asante sana, watakaokuja watatuwakilisha
Ironbutterfly JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 3,039 Reaction score 8,242 Apr 6, 2023 #27 Equation x said: Asante sana, watakaokuja watatuwakilisha Click to expand... Wakaribie Sana,nimefikia bwiru 🙏
Equation x said: Asante sana, watakaokuja watatuwakilisha Click to expand... Wakaribie Sana,nimefikia bwiru 🙏
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,624 Reaction score 65,097 Apr 6, 2023 Thread starter #28 Ironbutterfly said: Wakaribie Sana,nimefikia bwiru 🙏 Click to expand... Uwe unatuwekea mapicha picha, angalau sie tulio mbali tuweze kufaidi kwa macho.
Ironbutterfly said: Wakaribie Sana,nimefikia bwiru 🙏 Click to expand... Uwe unatuwekea mapicha picha, angalau sie tulio mbali tuweze kufaidi kwa macho.