Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,624
- 65,097
Utakuwa wapi?Asanteeee
We inaonekana nia zako sio nzuri kabisaa kwa hawa wadada[emoji23]Wapambane na changamoto zao😀😀😀
Ahsanteee karibu piaHuu sio urafiki
Yaani tunapishana kwenye makoldo ya jf hata kukaribishana kwa ajili ya maakuli siku ya sikukuu (jumapili) hakuna!
Tatizo ni nini? Tukaribishane wakuu
Mi nachukua nafasi hii, kukaribisha pisi yoyote inayojiamini ni pisi kali angalau tusherehekee naye sikukuu pamoja; umbali sio kizuizi, popote pale ulipo, pata kilaji chochote kwa bili yako.
Karibuni
50/50 mkuupata kilaji chochote kwa bili yako.
Hiyo imekajee kitaalamu au ni tying error??
Tunawasaidia kuwatoa 'out' kidogo, waweze kung'arisha macho hapa na paleWe inaonekana nia zako sio nzuri kabisaa kwa hawa wadada[emoji23]
Ahaaa sawa mkuu.......... akijichanganya unamla kimasihara [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]50/50 mkuu
'out' sio[emoji23]Tunawasaidia kuwatoa 'out' kidogo, waweze kung'arisha macho hapa na pale
Fresh barida tutakutana njia panda ya peponi 😄Wapambane na changamoto zao😀😀😀
Ikitokea hivyo tutakuwa tumekubaliana; ndio maana hatujisumbui na hawa wa <34, bali 35< hawa wanajielewa.Ahaaa sawa mkuu.......... akijichanganya unamla kimasihara [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha yatakuwa hayana maana kama watakula ubwabwa, na kujifungia ndani; matembezi ni muhimu'out' sio[emoji23]
Peponi unaenda kufanya nini?Fresh barida tutakutana njia panda ya peponi 😄
Wauni wote peponiPeponi unaenda kufanya nini?
Itategemea katika maisha yao hapa duniani, waliwekeza kwenye niniWauni wote peponi
Wahuni wana true love hawafakeItategemea katika maisha yao hapa duniani, waliwekeza kwenye nini
Wanapiga sana mizingaWahuni wana true love hawafake