Huu si uungwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu si uungwana

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jonogomero, Feb 9, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli huu si uungwana wadau, nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ya kibongo watu kibao wanaponda kufeli kwa mtoto wa president JK! Kwani whats so special about her, nae si alikuwa mwanafunz kama wengine au? Jaman Kama alikuwa hajibidiishi ni lazima afeli tu kama wote wasiojibidiisha
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hapana ndugu, hapa kwa Mwanaasha kuna jambo linalotakiwa kutopita bila kuhoji: angekuwa kwenye shule za santa kanumba hapa ningeelewa, kusoma kwenye shule bora kulikozote nchini na yeye kushinda kwa daraja la pekee ni ishara kuwa ama anauwezo wa kufaulu ama hakuwa na uwezo bali baba yake alilazimisha wamiliki wa shule waendelee kumlea. Hii ni ishara ya rushwa: ama wamiliki wa shule waliendelea kumlea ili nao wapate huruma mbalimbali za dora. Kwa upande mwingine, kupita kwa daraja bovu ni ishara kuwa hakuwa na uwezo hivyo huenda baba yake ililazimisha shule ikae nae tu japo hana sifa za kuwa katika shule hiyo. Hii inafanana na sakata la hotel ya Kempinsky ambapo mkuu alihongwa suti ili kutoa mwanya wa biashara.
   
 3. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo angekuwa shule zetu za kata kwa kweli labda angepata mimba form two aisee, kiufupi kamuaibisha sana baba yake, lakini mtoto wa mbayuwayu ni mbayuwayu tu, amechanganya akilibzake na za mbayuwayu
   
Loading...