Huu si uanaume, ni aibu

Point namba mbili ukibana na pesa yangu umechukua, NAKUCHANA na NAKUANIKA, hamna namna hapo, huo ni WIZI mchana kweupe.

Point namba tano, mambo mengine tuachie sisi wanaume, kama haujawahi kuwa mwanaume, basi ongelea upande wako, yaani mambo ya kike ambayo kiasilia unaweza kuyakontrol wewe LABDA! Hii Ni wanaume wengi walivyo by nature, kama vipi chonga wa kwako kisha mfanyishe afanye upendayo!

ALAFU NIMETAMBUA KWA KUSOMA COMMENTS UZI HUU KUWA WANAUME WENGI HAWAJITAMBUI, sijui ni wa JF tu au ndo wanawakilisha taifa?? Wanalishwa maneno na wao wanaongea tena kwa KUJISHUSHA kutetea kitu ambacho sicho! Mfano, mwanaume kwa asilia tuna asili ya kujifagilia ktk mambo fulani kama kugegeda kwa wanawake, sasa mtu unalishwa maneno eti unakana UASILI WAKO.
 


Kiukweli napata wakati mgumu kukuelewa ndugu mleta uzi?! Kwanza wewe ni jinsia gani?!

Kama ni jinsia ya ME,
>kwanza nashindwa kukutofautisha wewe na hao unaodai wanalialia, maana hata namna ulivyoileta mada yako nawe pia unalialia tu.

>pili unatakiwa ujue wanaume ni viumbe vinavyoadopt kutokana na mazingira, sasa kama mpenzi wake anaenjoy hivyo vionjo katika mahusiano yao kwanini asifanye, au asifanye kisa anakuogopa wewe?!

>tatu swala la mtu kuhonga na kutafuta pesa hilo muachie yeye, au katika hao wanaume unaojaribu kuwafikishia ujumbe kuna hata mmoja ambaye anakujaga kukuomba pesa?! Na kama walihongana wawili na kunyanganyana wewe tatizo lako liko wapi?! Maana binafsi nadhani kufuatilia yasiyo kuhusu ndio tabia kuu ya kike ambayo kama wewe ni mwanaume basi unayo.

>nne, kama wewe ni mwanaume kweli, kamwe kuside na wanawake katika mambo haya ya mahusiano ni disgrace!!! USIMUAMINI MWANAMKE, historia toka Adam na Eva inaonyesha. Soma soma kidogo utaelewa nini namaanisha.
Ila napata instinct kuwa uko kwenye mawindo humu JF, na utafanikiwa tu, maana wanawake wote watakuina alshabab kweli kweli na unaweza ukazawadiwa cookiesπŸ˜‰

Kama ni jinsia KE.
Nna maneno machache, wewe uneachika, na vile visweet words ulivyokuwa unapewa mwanzo umevimiss afu unataka kuchafua hali ya hewa tu, nna feeling mwamba amekuacha na kakunyanganya vitu alivyokupa, wich is quite okay, pengine na wewe ulianza ka ushenzi ka kugawa tunda lake nje. Kuhusu swala la kutafuta pesa, la ngoswe muachie ngoswe😑😑
Kwa kifupi YOU ARE DISTURBED. Kitulize hapo mpaka atakapokuja mkombozi sio unachafua hali ya hewa tu.

Natoka!!"
 

Baba heko!!! Wanaume wa JF wanaleta upimbi, hata kama kutaka kuonekana magentlemen sio kutetea ufala😑😑
 
kuna aloniambiaga ,,,aisee una dudu zuri,,hahahaaa nkakimbilia nje
 
Mleta mada ni mpuuzi flani ambaye anasapotiwa na single women who are 40+ afu wanaendekeza ngono ngono tu😑😑
 
Mleta mada ni mpuuzi flani ambaye anasapotiwa na single women who are 40+ afu wanaendekeza ngono ngono tu😑😑
Hahaha...naona mipovu imekutoooka kwasababu mada imekugusa,acha hiyo tabia lasivyo utavishwa shanga na posa utolewe. Naona unavyofura. Teh Teh Teh....
 
A person can be a male but not a Man, takes much for a male being a Man
 
Hahaha...naona mipovu imekutoooka kwasababu mada imekugusa,acha hiyo tabia lasivyo utavishwa shanga na posa utolewe. Naona unavyofura. Teh Teh Teh....

Ufikiri wako ni mdogo kama umeme wa LUKU, i never waste my time arguing with walking corpse!!! *** off looser
 
Show me sense katika ulichokileta humu jukwaani looser.
U see how big looser are u? U hv commented uaself that u won't argue cause apparently u never found a single meningful point upstairs there to place in here. ChampπŸ˜‰
U threw away ua common stand and u really don have it,that's why am saying u are lost.

Am very sure my topic hv a lot of sense words bt u never watch it.
 

Wait kwanza!! We ni Me au Ke😱😱
 
Wich= Which
Watakuina = Watakuona
Uneachika = Umeachika

Dude...kajifunze kwanza kuandika.
 
Nikukoso kidogo wewe mtu sijajua we ni wa kike au kiume ....ATTN:......neno Lol sio la kike wala la kitoto...huenda hata hujui lina maanisha nini na sio hilo tu siku hizi kuna maneno mengi sana ya natumika in abbreviated forms.....na Kwa styl hyo sio ajabu hata zile emoj ukasema ni za kike .....neno lol linaeza tumiwa na mtu yeyote ..,neno lol ni ufupisho wa neno Laughing out loud !kuna mengine kama lmao yaani laughing my ass off !maneno kama roflo yaani rolling on the floor laughing ..,,.ni hayo tu asee so vitu kama hivi vina hitaji exposure ....mtu asie na exposure au experience na watu tofauti tofauti akiona haya anaeza ona kama tabia za kike .niwasilishe
 
Hao unaowazungumia wewe watakua watoto siyo wanaume.
 
Wich= Which
Watakuina = Watakuona
Uneachika = Umeachika

Dude...kajifunze kwanza kuandika.

Nimeshajifunza njoo tubattle kwa hoja hapa acha ushosti.

Nijibu yote niliyokuuliza kwenye hiyo post uliyoniquote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…