Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,181
- 29,914
Ni lazima ya umma.MBONA NAMBA NI PRIVATE..............FAFANUA
Ni lazima ya umma.
Gari yako, tena mkonga mpya ya bei mbaya, ukiwa na akili nzuri utaiingiza mtoni?
Mkuu si gari zote za umma zina namba za serikali au SU.Ya umma halafu ina namba private????
Ok labda tuseme mwenye gari hakuwepo eneo la tukio lakini hiyo sio mali ya umma kwa sababu hizo namba sio za umma
inawezekana huko upande wa pili atapata haya ma3 so haimsumbui huoni wenyewe walivyotuna wanalingoja ha ha ha na likizama wanaita chopa iwabebe unacheza na mafisadi wa Tanzania eeehNi lazima ya umma.
Gari yako, tena mkonga mpya ya bei mbaya, ukiwa na akili nzuri utaiingiza mtoni?
Mkuu si gari zote za umma zina namba za serikali au SU.
haha hata ile NISSAN YA LISSU NAMBA ZAKE HAZIJULIKANI MMILIKI NI NANI MPAKA LEO NA MSAJILI WA NAMBA NI MMOJA TU TANZANIA HII ..................oooohh asante mkuu sikuwa nalitambua hilo
Maana ya SU ni nini? Na maana ya STK/STL ni nini? Tuanzie hapo kwanza mkuuMkuu si gari zote za umma zina namba za serikali au SU.
Una uhakika gani kwamba hilo gari ni mali ya umma/mali ya serikali?Ni lazima ya umma.
Gari yako, tena mkonga mpya ya bei mbaya, ukiwa na akili nzuri utaiingiza mtoni?
Hivi gari za makachero zina namba zipi?Maana ya SU ni nini? Na maana ya STK/STL ni nini? Tuanzie hapo kwanza mkuu
Basi wewe ndo uko mbali sana, gari za makachero zote namba zake huwa ni za kiraia ila hazichorwi kwa muonekano kama namba za magari mengine....hii inafanywa makusudi ili wao kwa wao kutambuana, kana kwamba hata kama kuna mpelelezi kaja mkoa fulani kikazi akiangalia hyo namba anatambua bila ya kuuliza.....Hivi gari za makachero zina namba zipi?
Changanya na za kwako!
Wala sikubishii katika hilo.Basi wewe ndo uko mbali sana, gari za makachero zote namba zake huwa ni za kiraia ila hazichorwi kwa muonekano kama namba za magari mengine....hii inafanywa makusudi ili wao kwa wao kutambuana, kana kwamba hata kama kuna mpelelezi kaja mkoa fulani kikazi akiangalia hyo namba anatambua bila ya kuuliza.....
Hyo picha uloweka ni gari ya kiraia kabisaaa
Inaonesha ujui mambo mengi kijanaYa umma halafu ina namba private????
Ok labda tuseme mwenye gari hakuwepo eneo la tukio lakini hiyo sio mali ya umma kwa sababu hizo namba sio za umma
Magari ya umma yenye namba za kiraia ukiangalia huwa hazina bima au zina bima fake. Enzi zile za road licence pia ilikuwa inakosekanaUna uhakika gani kwamba hilo gari ni mali ya umma/mali ya serikali?
Kwa hyo wewe hapo hujaiona sticker ya bima? Au ya bima fakeMagari ya umma yenye namba za kiraia ukiangalia huwa hazina bima au zina bima fake. Enzi zile za road licence pia ilikuwa inakosekana
Nilikuwa tu natoa namna baadhi ya kuzitambua gari hizoKwa hyo wewe hapo hujaiona sticker ya bima? Au ya bima fake