huu sasa utani!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,753
Reaction score
7,883

...dhihaka hizi!
 
hapo shehe kaisaidia serikali cha msingi ni kuagiza zile helment wanazovaa wachezaji wa football ya marekani, viongozi wakihutubia wanavaa zile,hii ndio dawa.
 
Shehe mwenyewe juzi tu alim-bipu Mungu, sasa anatoa utabiri huku akitoa shukurani kwa JK na BWM kumlipia gharama za matibabu India?
 
hapo shehe kaisaidia serikali cha msingi ni kuagiza zile helment wanazovaa wachezaji wa football ya marekani, viongozi wakihutubia wanavaa zile,hii ndio dawa.

ebwana weeee, kweli lakini...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ !!!!!!!
 
Ni kama Iraq siku hizi waandishi wa habari wanavua viatu nje kabla ya kuingia kwenye press conference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…