Huu sasa upuuzi

kakini

Senior Member
Mar 31, 2011
197
33
Jamani ndugu zangu wapenda mabadiliko mambo yanayofanywa sasa hivi na hawa viongozi wetu yamekuwa ya ajabu sijui wanaongoza wanyama au wajinga gani jamani tuamke tupinge kwanguvu ahaya mambo maisha yanapanda daily, rushwa kila kona sidhani kama kuna kiongozi katika hii nchi kwa sasa jiji la Dar ni chafu ujinga mwingi kazi hazifanyiki yaani ni full ujinga
 
Tutafika sehemu ya kumzuia JK popote pale na kumuhulizia ahadi zake,meli,reli,ndege,madaraja n.k.akishindwa anagongwa fito palepale,ndo maana haendi mikoani nini?
 
kaaaaaaaaaaaaaziiiiiiiiiiiiiiii kweli kweli na bado mpaka tuvae vilaka ndio tutajuta vizuri kuichagua gamba
 
huyo ndo jk mbona mapema kumlaumu ilihal bado hajaenda tena nje na wafanyabiashara zaid ya 39 kuuza sura,harafu kabla kutawala cv zake atokako lipi njema alofanya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom