Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake.
Hawa wanandoa wana duka ambalo mkewe ndio anasimamia. Siku za karibuni mkewe ameanza tabia akifunga duka saa 12 jioni anapitia bar na marafiki zake wanapata mbili tatu bia ndio anarudi nyumbani - hata saa tatu mpaka tano usiku. Jamaa amemind na kumtaka aache mtindo huo na bibie nae kaja juu ati yeye sio mtoto mdogo kwani hafanyi chochote kibaya anapokua na marafiki zake. Siku hizi hata akumwambia ampitie wakati wa kurudi nyumbani mkewe hataki hivyo jamaa anahisi mapenzi yamepungua au yamehama.
Sasa jamaa anasema amechoka na tabia hii na anatake achukue hatua yoyote hata kama ndoa itavunjika basi kieleweke kwani haoni raha kuwa na mke asiyempa kampani.
Kabla sijamshauri la kufanya naomba mawazo yenu wana JF, mnaionaje hii ni wivu tu wa jamaa au bibie anaweza kuwa na lake jambo?
bar mwanamke mwenye ndoa mppaka sa 5?huyo wa wapi?chakula cha mumewe anapika nani,wanakaa sa ngapi nyumbani na kuongea yaliyojiri mchana kutwa na kuusu biashara inavyoenda?nadhani kuna tatizo but isije ikawa mdogo wako ndo chanzo cha matatizo ebu akueleze ukweli,mind u kila jambo liwe neno au action afanyayo mwanamke inamaana tek it seriously.
mara nyingi we (women) react kulingana na action!!
inawezekana kuna jambo upande wa mume limepelekea mama ku-behave hivi!!
thats wat i told himTwin,Huyo jamaa aseme tu ukweli,for the yrs they have been together,we wemen loved deeply there must be somthing wrng with the men,Twin nikikasirika naongea vingereza sana.
Jamaa anafikiri inawezekana kwa vile mama ameanza kushika visenti anapata kiburi. Na hivyo anaona pengine hakuwa na mapenzi ya kweli kwake.
Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake.
Hawa wanandoa wana duka ambalo mkewe ndio anasimamia. Siku za karibuni mkewe ameanza tabia akifunga duka saa 12 jioni anapitia bar na marafiki zake wanapata mbili tatu bia ndio anarudi nyumbani - hata saa tatu mpaka tano usiku. Jamaa amemind na kumtaka aache mtindo huo na bibie nae kaja juu ati yeye sio mtoto mdogo kwani hafanyi chochote kibaya anapokua na marafiki zake. Siku hizi hata akumwambia ampitie wakati wa kurudi nyumbani mkewe hataki hivyo jamaa anahisi mapenzi yamepungua au yamehama.
Sasa jamaa anasema amechoka na tabia hii na anatake achukue hatua yoyote hata kama ndoa itavunjika basi kieleweke kwani haoni raha kuwa na mke asiyempa kampani.
Kabla sijamshauri la kufanya naomba mawazo yenu wana JF, mnaionaje hii ni wivu tu wa jamaa au bibie anaweza kuwa na lake jambo?
8 yrs not mapenzi ya kweli?u must be kidding ww!
ooh jamani huyu mwanamke anayerudi kwake saa tano kila siku bila ridhaa ya mmewe sidhani kama anafata maadili ya ndoa hata kama kuna ugomvi
panahitaji msaada zaidi kujua makosa yanaanzia wapi......
Palipo na ufa paweze kuzibwa
Hii habari kwangu imenishangaza sana ....mwanamke aliteolewa kurudi home saa tano.. anibilivabo
mwanamke anae itaka bar kila jioni huyo si nubile type. mara moja moja inaeleweka bar kila siku anatafuta nini?.
anajasiria mali na wenzie
ndio kila siku mmpaka saa tano za usiku. na muda na husband saa ngapi? au ajui ndoa ni nini? jamaa ana haki hapa mama.anajasiria mali na wenzie
ndio kila siku mmpaka saa tano za usiku. na muda na husband saa ngapi? au ajui ndoa ni nini? jamaa ana haki hapa mama.
wengine huwa hawalioni hili mpaka wapate wa kuwadunda huko ma bar ndio waelewe umuhimu wa jamaa anaejitoleagaMaumivu mengine ya moyo huwa ni makubwa sana. Usikute mwanamke alikuwa housewife, jamaa kajinyima kampa mtaji wa biashara ili kuongeza kipato cha familia.
nimeanza kujichanganya sasa ipasavyo na watoto wa mjini lugha inakuja asante kwa ku note.masai wakati mwingine unaongea mapoint weye ..na kiswahili yako imeanza kunyooka sana