mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Endelea kukaza kamba pambana, tunajua watakupinga wengi na wengi wabaya zaidi ni wale unaofanya nao kazi wakikusifu mchana lakini usiku wanakupinga.
Cha muhimu fanya kwa kadri unavyoweza deal na hawa wahujumu uchumi, tunajua soko la sukari lipo sasa wale tuliowapa dhamana ya kuuza hiyo biashara sasa wanatunyanyasa basi wapige chini eitha kwa kuunda government team kwa ajili ya kusimamia na kununua sukari na kupanga bei.
Fungua viwanda huwezi kuanza na vyote ila unaweza kuanza na cha toothpicks ambacho mtambo wake ni USD 28 elfu TU. anzia hapo mambo yataenda tu wanaosema hili mara lile hatutakii mema.