cairnegie
Member
- Jul 10, 2017
- 12
- 6
Huenda hawa walionzisha hizi siku za amani , sheria , familia , baba ,mama , mwanamke ,mtoto , wapendanao ... wanatuona mafala kwa vile tunavozishobokea hizo sikukuu .
Sababu kuu ni kua maisha yao yako kinyume kabisa na hizo fikra , HUU NDIO NI UTUMWA WA KIFIKRA 😡 !
Hata ikianzishwa siku kuu ya mashoga duniani utawaona wanavojikomba .