Huu ni utumwa wa hali ya juu

Huu ni utumwa wa hali ya juu

Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku

Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea

Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60

Kimsingi wewe ni mtumwa uliyekosa minyororo tu
Huu mzunguko ukiweza kuuvunja ni jambo la kupongezwa ... anyway ndio maisha hayo.
 
Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku

Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea

Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60

Kimsingi wewe ni mtumwa uliyekosa minyororo tu
sahihi kabisa, watu hujua uhalisia mda ushaenda
 
Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku

Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea

Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60

Kimsingi wewe ni mtumwa uliyekosa minyororo tu
Sahihi
 
Mimi sijawahi kuajiliwa
Lakini hata siku moja sitakuja kuamini aliyeajiliwa ni mtumwa

Uwe umeajiliwa au kujiajir wote ni watumie
Tofauti yetu wewe unamtumikia nani

Kutafuta pesa ni utumwa
Mtu guru ni yule asiyetafuta hela
 
Wale wanaofanya wiki sita kwa wiki tatu kwa bwana mark ni watumwa pro max 😃😃😃
 
Masaa manne ya foleni na miundombinu ni kwa sababu ya serikali la hovyo chini ya CCM,wao bora wanunue v8 kuliko kujenga barabara,watu hata kuoga ni issue sasa,CCM ni laana 🤬🤮
 
Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku

Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea

Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60

Kimsingi wewe ni mtumwa uliyekosa minyororo tu
Mkuu uliona wapi mfumo wa maisha ukakupumzisha?

Achana na wajiriwa, sasa emb tupe life circle ya wafanya biashara na waliojiajiri kwa ujumla wake.
 
Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku

Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea

Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60

Kimsingi wewe ni mtumwa uliyekosa minyororo tu
Kwako wewe kufanya kazi ni utumwa? Najua waafrika wengi tumezoea ku-relax na huwa tunataa kazi tufanye tunapojisikia tu. Majuu kuna watu wengi wenye fedha na wanafanya kazi kwa muda mrefu. Wao wanaona kufanya kazi kama ndiyo sifa kuu wanayotakiwa kuwa nao binadamu wote.
 
SirJeff Denis huyo na hekaya zake unazibeba kama zilivyo .
 
Back
Top Bottom