macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,232
- 60,334
Lengo la kufanya kazi kwa wengine ni zaidi ya kutafuta fedha. Elon Musk lengo lake kuu ni kutafuta fedha?Mimi sijawahi kuajiliwa
Lakini hata siku moja sitakuja kuamini aliyeajiliwa ni mtumwa
Uwe umeajiliwa au kujiajir wote ni watumie
Tofauti yetu wewe unamtumikia nani
Kutafuta pesa ni utumwa
Mtu guru ni yule asiyetafuta hela