Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Ukifuatilia kwenye mitandao ya kijamii, Serikali imekuwa ikinisifia sana lakini haipati sifa zile zile kutoa kwa wananchi.
Unaweza kuta Ikulu imepost jambo zuri, lakini watakao comment ni wachache na pengine hakuna kabisa.
Tofauti na Ikulu nyingine, wakipost utakuta wananchi wanachangia na kutoa mawazo yao.
Nimejifunza mambo mawili
1. Inawezekana wananchi wanacomment negative comments na zinafutwa
2. Wananchi hawaoni cha kucomment kwa sababu mara nyingi zinakuwa taarifa za kumuabudu mtu.
Angalia hapo kwenye picha, hadi saa moja ninapita kwenye post ya msigwa wa ikulu kuna comment 1 na view 3
Msigwa na Abbasi jifunzeni.